3 : 48
وَيُعَلِّمُهُ ٱلۡكِتَٰبَ وَٱلۡحِكۡمَةَ وَٱلتَّوۡرَىٰةَ وَٱلۡإِنجِيلَ
Na atamfunza kuandika na Hikima na Taurati na Injili.
Explanation & meanings · 1
- Na Mwenyezi Mungu atamfunza mtoto huyu aliye zaliwa kuandika, na ilimu njema yenye manufaa, na Taurati, Kitabu cha Musa a.s., na Injili atayo mfunulia yeye.