Skip to content
آل عِمران /

Aya 158

3 : 158
آل عِمران Aya 200
Sura · آل عِمران
Kiswahili · Barawani
3 : 158

وَلَئِن مُّتُّمۡ أَوۡ قُتِلۡتُمۡ لَإِلَى ٱللَّهِ تُحۡشَرُونَ

Na mkifa au mkiuliwa ni kwa Mwenyezi Mungu ndio mtakusanywa.

Explanation & meanings · 1
  1. Na lau mtakufa au mtauliwa katika Jihadi hazitopotea bure a'mali zenu, kwani mtakusanywa kwa Mwenyezi Mungu akulipeni kwa Jihadi yenu na ikhlasi yenu.