Skip to content
النَّمل /

Aya 77

27 : 77
النَّمل Aya 93
Sura · النَّمل
Kiswahili · Barawani
27 : 77

وَإِنَّهُۥ لَهُدٗى وَرَحۡمَةٞ لِّلۡمُؤۡمِنِينَ

Nayo hakika ni Uwongofu na Rehema kwa Waumini.

Explanation & meanings · 1
  1. Hakika Kitabu hichi ni Uwongofu wa kuokoa watu wasipotee, na ni Rehema ya kuwakinga na adhabu wote wenye kukiamini.