27 : 31
أَلَّا تَعۡلُواْ عَلَيَّ وَأۡتُونِي مُسۡلِمِينَ
Msinifanyie jeuri, na fikeni kwangu nanyi mmekwisha kuwa wenye kusalimu amri.
Explanation & meanings · 1
- Msifanye kiburi juu yangu, na nijieni nanyi mmet'ii na wanyenyekevu.