26 : 55 وَإِنَّهُمۡ لَنَا لَغَآئِظُونَ Nao wanatuudhi. 55Hide explanation (1)Explanation & meanings · 155Na wao juu ya hivyo, wanatutibua roho kwa kuvunja amri yetu na kutoka bila ya idhini yetu.