Skip to content
الشعراء /

Aya 43

26 : 43
الشعراء Aya 227
Sura · الشعراء
Kiswahili · Barawani
26 : 43

قَالَ لَهُم مُّوسَىٰٓ أَلۡقُواْ مَآ أَنتُم مُّلۡقُونَ

Musa akwaambia: Tupeni mnavyo taka kutupa.

Explanation & meanings · 1
  1. Ulipo fika wakati ulio wekwa katika siku iliyo pangwa Musa aliwaambia wachawi: Tupeni huo uchawi mnao taka kuutupa.