26 : 215
وَٱخۡفِضۡ جَنَاحَكَ لِمَنِ ٱتَّبَعَكَ مِنَ ٱلۡمُؤۡمِنِينَ
Na watwae kwa upole wanao kufuata miongoni mwa Waumini.
Explanation & meanings · 1
- Na kuwa mpole kwa wanao itikia wito wako wa Imani.