Skip to content
الشعراء /

Aya 204

26 : 204

Aya 204 of الشعراء (26 : 204). This page carries the verse in the Uthmani script with a translation of its meaning, at a stable URL that can be cited on its own.

الشعراء Aya 227
Sura · الشعراء
Kiswahili · Barawani
26 : 204

أَفَبِعَذَابِنَا يَسۡتَعۡجِلُونَ

Basi, je, wanaihimiza adhabu yetu?.

Explanation & meanings · 1
  1. Anasema Mwenyezi Mungu Mtukufu: Watu wa Makka wameghurika na kuchelewesha kwangu kuwaadhibu, basi ndio wanaihimiza? Anakusudia Subhanahu Aliye takasika kuzisafihi akili zao kwa sababu ya kuhimiza kwao adhabu juu ya kuwaonya na kuwatisha.