26 : 202
فَيَأۡتِيَهُم بَغۡتَةٗ وَهُمۡ لَا يَشۡعُرُونَ
Basi itawafikia kwa ghafla, na hali hawana khabari.
Explanation & meanings · 1
- Itawateremkia adhabu kwa ghafla bila ya kuitaraji, wala wao hawajui kama inakuja.