23 : 94
رَبِّ فَلَا تَجۡعَلۡنِي فِي ٱلۡقَوۡمِ ٱلظَّٰلِمِينَ
Mola wangu Mlezi! Usinijaalie katika watu madhaalimu hao.
Explanation & meanings · 1
- Basi nakuomba usinifanye mwenye kuadhibiwa pamoja na makafiri waasi.
Aya 94 of المؤمنُون (23 : 94). This page carries the verse in the Uthmani script with a translation of its meaning, at a stable URL that can be cited on its own.
رَبِّ فَلَا تَجۡعَلۡنِي فِي ٱلۡقَوۡمِ ٱلظَّٰلِمِينَ
Mola wangu Mlezi! Usinijaalie katika watu madhaalimu hao.