23 : 40
قَالَ عَمَّا قَلِيلٖ لَّيُصۡبِحُنَّ نَٰدِمِينَ
(Mwenyezi Mungu) akasema: Baada ya muda mchache watakuwa wenye kujuta.
Explanation & meanings · 1
- Mwenyezi Mungu akamwambia Huud kuzidi kutilia nguvu ahadi yake: Baada ya muda mchache watakuja juta, kwa waliyo yafanya, itapo wateremkia adhabu.