Skip to content
المؤمنُون /

Aya 36

23 : 36
المؤمنُون Aya 118
Sura · المؤمنُون
Kiswahili · Barawani
23 : 36

۞ هَيۡهَاتَ هَيۡهَاتَ لِمَا تُوعَدُونَ

Hayawi! Hayawi hayo mnayo ahidiwa.

Explanation & meanings · 1
  1. Hayo anayo kuahidini ni ya mbali mno, wala hayatakuwa abadan.