Skip to content
المؤمنُون /

Aya 31

23 : 31

Aya 31 of المؤمنُون (23 : 31). This page carries the verse in the Uthmani script with a translation of its meaning, at a stable URL that can be cited on its own.

المؤمنُون Aya 118
Sura · المؤمنُون
Kiswahili · Barawani
23 : 31

ثُمَّ أَنشَأۡنَا مِنۢ بَعۡدِهِمۡ قَرۡنًا ءَاخَرِينَ

Kisha baada yao, tukanzisha kizazi kingine.

Explanation & meanings · 1
  1. Tena baada ya kaumu ya Nuhu tukaumba namna ya watu wengine, na wao ni A'adi.