23 : 25
إِنۡ هُوَ إِلَّا رَجُلُۢ بِهِۦ جِنَّةٞ فَتَرَبَّصُواْ بِهِۦ حَتَّىٰ حِينٖ
Huyu si lolote ila ni mtu mwenye wazimu. Basi mngojeeni tu kwa muda.
Explanation & meanings · 1
- Huyu si chochote ila ni mtu mwenye wazimu. Na kwa hivyo wakasema: Ngojeni, na mstahamilieni mpaka ukashifike wazimu wake, au kufike kuangamia kwake.