Skip to content
المؤمنُون /

Aya 19

23 : 19
المؤمنُون Aya 118
Sura · المؤمنُون
Kiswahili · Barawani
23 : 19

فَأَنشَأۡنَا لَكُم بِهِۦ جَنَّٰتٖ مِّن نَّخِيلٖ وَأَعۡنَٰبٖ لَّكُمۡ فِيهَا فَوَٰكِهُ كَثِيرَةٞ وَمِنۡهَا تَأۡكُلُونَ

Kwa maji hayo tukakufanyieni bustani za mitende na mizabibu, mnapata humo matunda mengi, na katika hayo mnakula;

Explanation & meanings · 1
  1. Kwa haya maji tukakuumbieni mabustani ya mitende na mizabibu yenye matunda mengi kwa ajili yenu, na katika hayo nyinyi mnakula.