Skip to content
المؤمنُون /

Aya 105

23 : 105
المؤمنُون Aya 118
Sura · المؤمنُون
Kiswahili · Barawani
23 : 105

أَلَمۡ تَكُنۡ ءَايَٰتِي تُتۡلَىٰ عَلَيۡكُمۡ فَكُنتُم بِهَا تُكَذِّبُونَ

Je! Hazikuwa Aya zangu mkisomewa, na nyinyi mkizikanusha?.

Explanation & meanings · 1
  1. Mwenyezi Mungu anawakemea na anawaambia: Aya zangu zilizo kuwa zinateremshwa zilikuwa mkisomewa duniani, nanyi mkizikadhibisha.