Skip to content
الأنبيَاء /

Aya 70

21 : 70

Aya 70 of الأنبيَاء (21 : 70). This page carries the verse in the Uthmani script with a translation of its meaning, at a stable URL that can be cited on its own.

الأنبيَاء Aya 112
Sura · الأنبيَاء
Kiswahili · Barawani
21 : 70

وَأَرَادُواْ بِهِۦ كَيۡدٗا فَجَعَلۡنَٰهُمُ ٱلۡأَخۡسَرِينَ

Wao walimkusudia maovu, lakini Sisi tukawafanya wao ndio walio khasiri.

Explanation & meanings · 1
  1. Wao walitaka kumuangamiza, lakini Sisi tukamwokoa, na tukawafanya wao ndio watu walio khasiri mno.