Skip to content
الأنبيَاء /

Aya 6

21 : 6

Aya 6 of الأنبيَاء (21 : 6). This page carries the verse in the Uthmani script with a translation of its meaning, at a stable URL that can be cited on its own.

الأنبيَاء Aya 112
Sura · الأنبيَاء
Kiswahili · Barawani
21 : 6

مَآ ءَامَنَتۡ قَبۡلَهُم مِّن قَرۡيَةٍ أَهۡلَكۡنَٰهَآۖ أَفَهُمۡ يُؤۡمِنُونَ

Hawakuamini kabla yao watu wa mji tulio uangamiza. Basi, je, wataamini hawa?

Explanation & meanings · 1
  1. Hizo kaumu tulizo ziangamiza baada ya kukadhibisha hiyo miujiza hazikuamini. Basi, je! Watakuja amini hawa yatapo wajia hayo wayatakayo?