Skip to content
الأنبيَاء /

Aya 12

21 : 12
الأنبيَاء Aya 112
Sura · الأنبيَاء
Kiswahili · Barawani
21 : 12

فَلَمَّآ أَحَسُّواْ بَأۡسَنَآ إِذَا هُم مِّنۡهَا يَرۡكُضُونَ

Basi walipo ihisi adhabu yetu, mara wakaanza kukimbia.

Explanation & meanings · 1
  1. Na tulipo taka kuwateketeza, na wakahisi ukali wa adhabu yetu na uwezo wetu wa kuwateremshia hayo yatakayo wapata, wakafanya haraka kukimbia, kama wanyama hayawani, ati kutafuta kuokoka!