18 : 66
قَالَ لَهُۥ مُوسَىٰ هَلۡ أَتَّبِعُكَ عَلَىٰٓ أَن تُعَلِّمَنِ مِمَّا عُلِّمۡتَ رُشۡدٗا
Musa akamwambia: Nikufuate ili unifunze katika ule uwongofu ulio funzwa wewe?
Explanation & meanings · 1
- Musa akamwambia yule mja mwema: Je nende nawe upate kunifunza nami aliyo kufunza Mwenyezi Mungu?