Skip to content
الكَهف /

Aya 53

18 : 53

Aya 53 of الكَهف (18 : 53). This page carries the verse in the Uthmani script with a translation of its meaning, at a stable URL that can be cited on its own.

الكَهف Aya 110
Sura · الكَهف
Kiswahili · Barawani
18 : 53

وَرَءَا ٱلۡمُجۡرِمُونَ ٱلنَّارَ فَظَنُّوٓاْ أَنَّهُم مُّوَاقِعُوهَا وَلَمۡ يَجِدُواْ عَنۡهَا مَصۡرِفٗا

Na wakhalifu watauona Moto na watajua ya kwamba wao lazima wataingia humo; wala hawatapata pa kuuepuka.

Explanation & meanings · 1
  1. Na wakosefu watauona Moto na watayakinika kuwa hapana shaka watauingia tu. Wala hawatakuwa na pahala pengine badala yake.