Skip to content
الكَهف /

Aya 52

18 : 52

Aya 52 of الكَهف (18 : 52). This page carries the verse in the Uthmani script with a translation of its meaning, at a stable URL that can be cited on its own.

الكَهف Aya 110
Sura · الكَهف
Kiswahili · Barawani
18 : 52

وَيَوۡمَ يَقُولُ نَادُواْ شُرَكَآءِيَ ٱلَّذِينَ زَعَمۡتُمۡ فَدَعَوۡهُمۡ فَلَمۡ يَسۡتَجِيبُواْ لَهُمۡ وَجَعَلۡنَا بَيۡنَهُم مَّوۡبِقٗا

Na siku atakapo sema (Mwenyezi Mungu): Waiteni hao mlio dai kuwa ni washirika wangu. Basi watawaita, na wao hawato waitikia. Nasi tutaweka baina yao maangamio.

Explanation & meanings · 1
  1. Watajie siku atayo waambia Mwenyezi Mungu washirikina: Waiteni hao mlio kuwa mkidai duniani kuwa ni washirika wangu katika ibada ili wakuombeeni kwa mujibu wa madai yenu. Nao watawaita, na hao hawato waitikia. Nasi tumejaalia sasa hapana baina yao ila ni maangamizo tu kwa makafiri, baada ya kuwa duniani walikuwa na mawasiliano ya ibada na mapenzi.