Skip to content
الكَهف /

Aya 41

18 : 41

Aya 41 of الكَهف (18 : 41). This page carries the verse in the Uthmani script with a translation of its meaning, at a stable URL that can be cited on its own.

الكَهف Aya 110
Sura · الكَهف
Kiswahili · Barawani
18 : 41

أَوۡ يُصۡبِحَ مَآؤُهَا غَوۡرٗا فَلَن تَسۡتَطِيعَ لَهُۥ طَلَبٗا

Au maji yake yakadidimia wala usiweze kuyagundua.

Explanation & meanings · 1
  1. Au maji yake yakazama katika ardhi, yasipatikane, wala usiweze kuyachota kwa kumwagia katika shamba.