Skip to content
الكَهف /

Aya 40

18 : 40

Aya 40 of الكَهف (18 : 40). This page carries the verse in the Uthmani script with a translation of its meaning, at a stable URL that can be cited on its own.

الكَهف Aya 110
Sura · الكَهف
Kiswahili · Barawani
18 : 40

فَعَسَىٰ رَبِّيٓ أَن يُؤۡتِيَنِ خَيۡرٗا مِّن جَنَّتِكَ وَيُرۡسِلَ عَلَيۡهَا حُسۡبَانٗا مِّنَ ٱلسَّمَآءِ فَتُصۡبِحَ صَعِيدٗا زَلَقًا

Basi huenda Mola wangu Mlezi akanipa kilicho bora kuliko kitalu chako, naye akapitisha kudra yake kutoka mbinguni kukilitea hicho chako, na kikageuka ardhi tupu inayo teleza.

Explanation & meanings · 1
  1. ...basi huenda Mola wangu Mlezi akanipa bora kuliko hiyo bustani yako, hapa duniani au kesho Akhera, na akaipelekea bustani yako kudra yake aliyo ikadiria, kama radi mathalan kutoka mbinguni. Na ikawa ardhi kavu inayo teleza haimei kitu, wala unyayo hautulii juu yake.