Skip to content
الإسرَاء /

Aya 58

17 : 58

Aya 58 of الإسرَاء (17 : 58). This page carries the verse in the Uthmani script with a translation of its meaning, at a stable URL that can be cited on its own.

الإسرَاء Aya 111
Sura · الإسرَاء
Kiswahili · Barawani
17 : 58

وَإِن مِّن قَرۡيَةٍ إِلَّا نَحۡنُ مُهۡلِكُوهَا قَبۡلَ يَوۡمِ ٱلۡقِيَٰمَةِ أَوۡ مُعَذِّبُوهَا عَذَابٗا شَدِيدٗاۚ كَانَ ذَٰلِكَ فِي ٱلۡكِتَٰبِ مَسۡطُورٗا

Na hapana mji wowote ila Sisi tutauteketeza kabla ya Siku ya Kiyama, au tutaupa adhabu kali. Haya yamekwisha andikwa katika Kitabu.

Explanation & meanings · 1
  1. Na ni mazoea yetu kuuteketeza kila mji na watu wake unapo dhulumu mji huo. Au huwapa adhabu kali watu wake kwa mauwaji au vyenginevyo. Basi watu wako watahadhari, kwani hukumu yetu imekwisha hukumiwa, na imekwisha andikwa katika Kitabu chetu.