Skip to content
الإسرَاء /

Aya 38

17 : 38

Aya 38 of الإسرَاء (17 : 38). This page carries the verse in the Uthmani script with a translation of its meaning, at a stable URL that can be cited on its own.

الإسرَاء Aya 111
Sura · الإسرَاء
Kiswahili · Barawani
17 : 38

كُلُّ ذَٰلِكَ كَانَ سَيِّئُهُۥ عِندَ رَبِّكَ مَكۡرُوهٗا

Haya yote ubaya wake ni wenye kuchukiza kwa Mola wako Mlezi.

Explanation & meanings · 1
  1. Yote hayo yaliyo tajwa katika mausio ni mambo mabaya yaliyo katazwa na yanayo chusha na kuchukiza kwa Mola wako Mlezi.