Skip to content
الإسرَاء /

Aya 109

17 : 109

Aya 109 of الإسرَاء (17 : 109). This page carries the verse in the Uthmani script with a translation of its meaning, at a stable URL that can be cited on its own.

الإسرَاء Aya 111
Sura · الإسرَاء
Kiswahili · Barawani
17 : 109

وَيَخِرُّونَ لِلۡأَذۡقَانِ يَبۡكُونَ وَيَزِيدُهُمۡ خُشُوعٗا۩

Na huanguka kifudifudi na huku wanalia, na inawazidisha unyenyekevu.

Explanation & meanings · 1
  1. Na huangukia tena kwenye nyuso zao mara ya pili wakilia kwa kumkhofu Mwenyezi Mungu, na Qur'ani inawazidisha unyenyekevu kwa Mwenyezi Mungu.