17 : 108
وَيَقُولُونَ سُبۡحَٰنَ رَبِّنَآ إِن كَانَ وَعۡدُ رَبِّنَا لَمَفۡعُولٗا
Na wanasema: Subhana Rabbina, Ametakasika Mola wetu Mlezi! Hakika ahadi ya Mola wetu Mlezi lazima itimizwe!.
Explanation & meanings · 1
- Na wao husema: Mola wetu Mlezi ametakasika na ila ya kwenda kinyume na ahadi yake ya kuneemesha na kuadhibu alio ahidi. Kwani ahadi yake lazima itimie bila ya shaka yoyote.