Skip to content
النَّحل /

Aya 85

16 : 85

Aya 85 of النَّحل (16 : 85). This page carries the verse in the Uthmani script with a translation of its meaning, at a stable URL that can be cited on its own.

النَّحل Aya 128
Sura · النَّحل
Kiswahili · Barawani
16 : 85

وَإِذَا رَءَا ٱلَّذِينَ ظَلَمُواْ ٱلۡعَذَابَ فَلَا يُخَفَّفُ عَنۡهُمۡ وَلَا هُمۡ يُنظَرُونَ

Na walio dhulumu watakapo iona adhabu hawatapunguziwa hiyo adhabu,wala hawatapewa muhula.

Explanation & meanings · 1
  1. Na wale walio jidhullumu nafsi zao kwa kukufuru watakapo iona Jahannamu, na wakataka wapunguziwe adhabu, hawato jibiwa, wala hawato akhirishwa kuingia Jahannamu hata dakika moja.