Skip to content
النَّحل /

Aya 29

16 : 29
النَّحل Aya 128
Sura · النَّحل
Kiswahili · Barawani
16 : 29

فَٱدۡخُلُوٓاْ أَبۡوَٰبَ جَهَنَّمَ خَٰلِدِينَ فِيهَاۖ فَلَبِئۡسَ مَثۡوَى ٱلۡمُتَكَبِّرِينَ

Basi ingieni milango ya Jahannamu, humo mdumu. Ni maovu mno makaazi ya wafanyao kiburi!

Explanation & meanings · 1
  1. Na baada ya hayo wataambiwa: Mwisho wenu ni kuingia Motoni, na adhabu ya huko ni ya milele, haikatiki! Na mbaya mno nyumba ya Jahannamu kuwa ni makaazi ya kila mwenye kutakabari akakataa kufuata Haki na Imani ya Mwenyezi Mungu na Mitume wake.