Skip to content
الحِجر /

Aya 83

15 : 83
الحِجر Aya 99
Sura · الحِجر
Kiswahili · Barawani
15 : 83

فَأَخَذَتۡهُمُ ٱلصَّيۡحَةُ مُصۡبِحِينَ

Basi ukelele ukawatwaa asubuhi.

Explanation & meanings · 1
  1. Walipo kufuru na wakakanya, zikawajia sauti za kutisha, za kuonya kuteketea kwao, wakahiliki wakati wa asubuhi.