Skip to content
الحِجر /

Aya 76

15 : 76

Aya 76 of الحِجر (15 : 76). This page carries the verse in the Uthmani script with a translation of its meaning, at a stable URL that can be cited on its own.

الحِجر Aya 99
Sura · الحِجر
Kiswahili · Barawani
15 : 76

وَإِنَّهَا لَبِسَبِيلٖ مُّقِيمٍ

Na miji hii ipo kwenye njia inayo pitiwa.

Explanation & meanings · 1
  1. Na mabaki ya mji huu yapo yamesalia. Nayo yapo njiani katika njia inayo pitiwa na watu. Anaye taka kuwaidhika kwayo anaweza kuwaidhika.