15 : 48
لَا يَمَسُّهُمۡ فِيهَا نَصَبٞ وَمَا هُم مِّنۡهَا بِمُخۡرَجِينَ
Humo hayatawagusa machofu, wala hawatatolewa humo.
Explanation & meanings · 1
- Hawapatwi na machofu huko. Na hiyo ni neema ya daima, wala hawatotoka humo milele.