15 : 43
وَإِنَّ جَهَنَّمَ لَمَوۡعِدُهُمۡ أَجۡمَعِينَ
Na bila shaka Jahannamu ndipo pahali pao walipo ahidiwa wote.
Explanation & meanings · 1
- Na hakika Moto mkali mno ndio wameahidiwa hao wote kuwa ndiyo adhabu ya kutia uchungu.
Aya 43 of الحِجر (15 : 43). This page carries the verse in the Uthmani script with a translation of its meaning, at a stable URL that can be cited on its own.
وَإِنَّ جَهَنَّمَ لَمَوۡعِدُهُمۡ أَجۡمَعِينَ
Na bila shaka Jahannamu ndipo pahali pao walipo ahidiwa wote.