Skip to content
الحِجر /

Aya 29

15 : 29
الحِجر Aya 99
Sura · الحِجر
Kiswahili · Barawani
15 : 29

فَإِذَا سَوَّيۡتُهُۥ وَنَفَخۡتُ فِيهِ مِن رُّوحِي فَقَعُواْ لَهُۥ سَٰجِدِينَ

Basi nitakapo mkamilisha na nikampulizia roho yangu, basi mumwangukie kumsujudia.

Explanation & meanings · 1
  1. Nikisha kamilisha kumuumba, na nikampulizia roho ambayo ninaimiliki, basi teremkeni kwa nyuso zenu mkimsujudia, kwa kumwamkia na kumhishimu.