Skip to content
الحِجر /

Aya 11

15 : 11
الحِجر Aya 99
Sura · الحِجر
Kiswahili · Barawani
15 : 11

وَمَا يَأۡتِيهِم مِّن رَّسُولٍ إِلَّا كَانُواْ بِهِۦ يَسۡتَهۡزِءُونَ

Na hakuwafikia Mtume ila walimkejeli.

Explanation & meanings · 1
  1. Wala mtindo wao hao walio watangulia kwa kushikilia upotovu haukuwa ila kuwafanyia maskhara Mitume wao, Mtume baada ya Mtume, kama wanavyo kufanyia kejeli wewe! Huo ndio mtindo wa wapotovu!