14 : 49
وَتَرَى ٱلۡمُجۡرِمِينَ يَوۡمَئِذٖ مُّقَرَّنِينَ فِي ٱلۡأَصۡفَادِ
Na utaona wakhalifu siku hiyo wamefungwa katika minyororo;
Explanation & meanings · 1
- Utawaona makafiri Siku ya Kiyama wamefungwa pingu pamoja na mashetani wao.