14 : 50
سَرَابِيلُهُم مِّن قَطِرَانٖ وَتَغۡشَىٰ وُجُوهَهُمُ ٱلنَّارُ
Nguo zao zitakuwa za lami, na Moto utazigubika nyuso zao.
Explanation & meanings · 1
- Ngozi zao zimepakwa lami inayo chiririka, imekuwa kama ndio nguo juu ya ngozi zao. Na moto umewapamba na kuwagubika nyuso zao.