Skip to content
الرَّعد /

Aya 29

13 : 29

Aya 29 of الرَّعد (13 : 29). This page carries the verse in the Uthmani script with a translation of its meaning, at a stable URL that can be cited on its own.

الرَّعد Aya 43
Sura · الرَّعد
Kiswahili · Barawani
13 : 29

ٱلَّذِينَ ءَامَنُواْ وَعَمِلُواْ ٱلصَّٰلِحَٰتِ طُوبَىٰ لَهُمۡ وَحُسۡنُ مَـَٔابٖ

Wale walio amini na wakatenda mema watakuwa na raha na marejeo mazuri.

Explanation & meanings · 1
  1. Na hakika wanao inyenyekea Haki, na wakasimama kutenda vitendo vyema, hao watapata malipo mema, na mwisho mzuri.