12 : 71
قَالُواْ وَأَقۡبَلُواْ عَلَيۡهِم مَّاذَا تَفۡقِدُونَ
Wakasema nao wamewakabili: Kwani mmepoteza nini?
Explanation & meanings · 1
- Wakashituka nduguze Yusuf kwa kutangaziwa yale, wakawaelekea wale wenye kunadi wakawauliza: Mmepoteza nini, na mnatafuta nini?