Skip to content
يُوسُف /

Aya 70

12 : 70

Aya 70 of يُوسُف (12 : 70). This page carries the verse in the Uthmani script with a translation of its meaning, at a stable URL that can be cited on its own.

يُوسُف Aya 111
Sura · يُوسُف
Kiswahili · Barawani
12 : 70

فَلَمَّا جَهَّزَهُم بِجَهَازِهِمۡ جَعَلَ ٱلسِّقَايَةَ فِي رَحۡلِ أَخِيهِ ثُمَّ أَذَّنَ مُؤَذِّنٌ أَيَّتُهَا ٱلۡعِيرُ إِنَّكُمۡ لَسَٰرِقُونَ

Na alipo kwisha watengenezea mahitaji yao akakitia kikopo cha kunywea maji katika mzigo wa nduguye huyo, kisha mnadi akanadi: Enyi wasafiri! Hapana shaka nyinyi ni wezi!

Explanation & meanings · 1
  1. Basi baada ya kuwakirimu kwa kuja kwao, na kuwapimia chakula, na kuwazidishia shehena ya nduguye, aliwafungia mizigo yao kwa ajili ya safari. Tena akawaamrisha wasaidizi wake watumbukize chombo cha kunywea katika mzigo wa Bin-yamini. Kisha mmoja wa wasaidizi wa Yusuf alinadi: Enyi wasafiri! Ngojeni! Nyinyi ni wezi!