Skip to content
يُوسُف /

Aya 60

12 : 60
يُوسُف Aya 111
Sura · يُوسُف
Kiswahili · Barawani
12 : 60

فَإِن لَّمۡ تَأۡتُونِي بِهِۦ فَلَا كَيۡلَ لَكُمۡ عِندِي وَلَا تَقۡرَبُونِ

Na msipo niletea basi hampati kipimo chochote kwangu, wala msinikurubie.

Explanation & meanings · 1
  1. Mkitomleta ndugu yenu huyu, basi hampati chakula kwangu, wala msijaribu kunijia tena.