Skip to content
يُوسُف /

Aya 48

12 : 48

Aya 48 of يُوسُف (12 : 48). This page carries the verse in the Uthmani script with a translation of its meaning, at a stable URL that can be cited on its own.

يُوسُف Aya 111
Sura · يُوسُف
Kiswahili · Barawani
12 : 48

ثُمَّ يَأۡتِي مِنۢ بَعۡدِ ذَٰلِكَ سَبۡعٞ شِدَادٞ يَأۡكُلۡنَ مَا قَدَّمۡتُمۡ لَهُنَّ إِلَّا قَلِيلٗا مِّمَّا تُحۡصِنُونَ

Kisha itakuja baadaye miaka saba ya shida itakayo kula kile mlicho iwekea isipo kuwa kidogo mtacho kihifadhi.

Explanation & meanings · 1
  1. Kisha baada ya miaka hii ya neema itakuja saba ya ukame. Mtakula kile mlicho weka akiba, isipo kuwa kidogo mtacho kificha na kukihifadhi, ili kiwe mbegu ya kupandia baadae