Skip to content
يُوسُف /

Aya 44

12 : 44
يُوسُف Aya 111
Sura · يُوسُف
Kiswahili · Barawani
12 : 44

قَالُوٓاْ أَضۡغَٰثُ أَحۡلَٰمٖۖ وَمَا نَحۡنُ بِتَأۡوِيلِ ٱلۡأَحۡلَٰمِ بِعَٰلِمِينَ

Wakasema: Hizi ni ndoto zilizo paraganyika, wala sisi sio wenye kujua tafsiri ya ndoto hizi.

Explanation & meanings · 1
  1. Wakasema: Hizi ni ndoto zilizo korogeka ovyo, na wasiwasi wa kuzuka tu katika nafsi ya mtu! Na sisi si wenye kujua tafsiri ya ndoto za ovyo ovyo.