12 : 16
وَجَآءُوٓ أَبَاهُمۡ عِشَآءٗ يَبۡكُونَ
Wakaja kwa baba yao usiku wakilia.
Explanation & meanings · 1
- Walirejea kwa baba yao usiku, wakijitia huzuni, na kupiga makelele kwa kilio!
Aya 16 of يُوسُف (12 : 16). This page carries the verse in the Uthmani script with a translation of its meaning, at a stable URL that can be cited on its own.
وَجَآءُوٓ أَبَاهُمۡ عِشَآءٗ يَبۡكُونَ
Wakaja kwa baba yao usiku wakilia.