Skip to content
يُوسُف /

Aya 13

12 : 13

Aya 13 of يُوسُف (12 : 13). This page carries the verse in the Uthmani script with a translation of its meaning, at a stable URL that can be cited on its own.

يُوسُف Aya 111
Sura · يُوسُف
Kiswahili · Barawani
12 : 13

قَالَ إِنِّي لَيَحۡزُنُنِيٓ أَن تَذۡهَبُواْ بِهِۦ وَأَخَافُ أَن يَأۡكُلَهُ ٱلذِّئۡبُ وَأَنتُمۡ عَنۡهُ غَٰفِلُونَ

Akasema: Kwa hakika inanihuzunisha kwamba nyinyi mwende naye, na ninaogopa asije mbwa mwitu akamla nanyi mmeghafilika naye.

Explanation & meanings · 1
  1. Mzee akasema: Hakika mimi naona huzuni mkiondoka naye, akawa mbali nami. Na nina khofu nikikuaminini asije akaliwa na mbwa mwitu na nyinyi mmeghafilika naye.