Skip to content
يُوسُف /

Aya 107

12 : 107

Aya 107 of يُوسُف (12 : 107). This page carries the verse in the Uthmani script with a translation of its meaning, at a stable URL that can be cited on its own.

يُوسُف Aya 111
Sura · يُوسُف
Kiswahili · Barawani
12 : 107

أَفَأَمِنُوٓاْ أَن تَأۡتِيَهُمۡ غَٰشِيَةٞ مِّنۡ عَذَابِ ٱللَّهِ أَوۡ تَأۡتِيَهُمُ ٱلسَّاعَةُ بَغۡتَةٗ وَهُمۡ لَا يَشۡعُرُونَ

Je! Wanaaminisha kuwa haitowajia adhabu ya Mwenyezi Mungu ya kuwagubika, au haitawafikia Saa ya Kiyama kwa ghafla, na hali hawatambui?.

Explanation & meanings · 1
  1. Kwani wamechukua ahadi kwa Mwenyezi Mungu asiwaadhibu, wakadhaminika isiwapate adhabu ya kuwagubika kwa nakama yake, kama ilivyo wafanyia walio watangulia kabla yao? Au Kiyama kisiwajie kwa ghafla, kikawatesa nao wameshikamana na ushirikina na ukafiri na kisha mwisho wao uwe Motoni?