Skip to content
هُود /

Aya 67

11 : 67

Aya 67 of هُود (11 : 67). This page carries the verse in the Uthmani script with a translation of its meaning, at a stable URL that can be cited on its own.

هُود Aya 123
Sura · هُود
Kiswahili · Barawani
11 : 67

وَأَخَذَ ٱلَّذِينَ ظَلَمُواْ ٱلصَّيۡحَةُ فَأَصۡبَحُواْ فِي دِيَٰرِهِمۡ جَٰثِمِينَ

Na ukelele uliwaangamiza wale walio dhulumu, wakapambazukiwa nao ni maiti majumbani mwao.

Explanation & meanings · 1
  1. Ukelele uliwatwaa kina Thamud kwa nguvu zake, na tetemeko lake, na ngurumo lake, kwa kuwa hao walijidhulumu wenyewe kwa ukafiri wao na uadui. Kulipo pambazuka wakawa katika majumba yao kimya, wamejinyoosha kifudifudi, maiti, hawatweti!