Skip to content
يُونس /

Aya 9

10 : 9

Aya 9 of يُونس (10 : 9). This page carries the verse in the Uthmani script with a translation of its meaning, at a stable URL that can be cited on its own.

يُونس Aya 109
Sura · يُونس
Kiswahili · Barawani
10 : 9

إِنَّ ٱلَّذِينَ ءَامَنُواْ وَعَمِلُواْ ٱلصَّٰلِحَٰتِ يَهۡدِيهِمۡ رَبُّهُم بِإِيمَٰنِهِمۡۖ تَجۡرِي مِن تَحۡتِهِمُ ٱلۡأَنۡهَٰرُ فِي جَنَّٰتِ ٱلنَّعِيمِ

Hakika walio amini na wakatenda mema, Mola wao Mlezi atawaongoa kwa sababu ya Imani yao. Itakuwa inapita mito kati yao katika Mabustani yenye neema.

Explanation & meanings · 1
  1. Hakika walio amini Imani ya kweli kweli, na wakatenda mema katika dunia yao, Mola wao Mlezi atawathibitisha kwenye Uwongofu kwa sababu ya Imani yao, na Siku ya Kiyama atawatia katika Bustani zipitazo mito kati yake, na wataneemeka kwa neema za milele.