10 : 8
أُوْلَٰٓئِكَ مَأۡوَىٰهُمُ ٱلنَّارُ بِمَا كَانُواْ يَكۡسِبُونَ
Hao, makaazi yao ni Motoni kwa sababu ya waliyo kuwa wakiyachuma.
Explanation & meanings · 1
- Watu hao, makaazi yao watakapo dumu ni Motoni. Hayo ni malipo kwa waliyo yachuma ya ukafiri na vitendo viovu.